Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.

      

Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.

  

Answers


Jim
Mvulana aliyekuwa amepotea amepatikana.
jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:09


Next: Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa: Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.
Previous: Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo: Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions