Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo: Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha.

      

Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo:
Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha.

  

Answers


Jim
Tuliwalisha.
jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:10


Next: Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.
Previous: Tunga vitenzi kutokana na nomino hizi: watafanyiwa tathmini- Kupata suluhu-

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions