Tunga vitenzi kutokana na nomino hizi: watafanyiwa tathmini- Kupata suluhu-

      

Tunga vitenzi kutokana na nomino hizi:
watafanyiwa tathmini-
Kupata suluhu-

  

Answers


Jim
watafanyiwa tathmini-Watatathminiwa.
Kupata suluhu-Kusuluhisha.

jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:12


Next: Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo: Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha.
Previous: Bainisha silabi katika neno: Wanyweshavyo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions