Eleza maana ya semi hizi: Agua kicheko- Chungfu nzima- Kupiga mbizi- Kupiga teke- Ezeka kofi- Ona cha mtema kuni-

      

Eleza maana ya semi hizi:
Angua kicheko-
Chungu nzima-
Kupiga mbizi-
Kupiga teke-
Ezeka kofi-
Ona cha mtema kuni-

  

Answers


Jim
Angua kicheko- cheka kwa sauti kubwa.
Chungu nzima-tele, nyingi sana.
Kupiga mbizi-kuogelea.
Kupiga teke-kutupilia jambo mbali.
Ezeka kofi-piga mtu usoni kwa mkono.
Ona cha mtema kuni-patwa na jambo mbaya.
jim items answered the question on October 1, 2018 at 04:53


Next: Define the word Ecology.
Previous: Eleza maana ya semi hizi: Mkono mrefu- Kuwa popo- Kula kalenda- Kutaka radhi- Funga ndoa-

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions