Eleza maana ya semi hizi: Mkono mrefu- Kuwa popo- Kula kalenda- Kutaka radhi- Funga ndoa-

      

Eleza maana ya semi hizi:
Mkono mrefu-
Kuwa popo-
Kula kalenda-
Kutaka radhi-
Funga ndoa-

  

Answers


Jim
Mkono mrefu-mwizi.
Kuwa popo-bila msimamo wowote/kigeugeu.
Kula kalenda-fungwa jela
Kutaka radhi-omba msamaha.
Funga ndoa-Oa.

jim items answered the question on October 1, 2018 at 04:55


Next: Eleza maana ya semi hizi: Agua kicheko- Chungfu nzima- Kupiga mbizi- Kupiga teke- Ezeka kofi- Ona cha mtema kuni-
Previous: Eleza maana ya maneno haya: Shawishi- Fuzu- Ari- Aghalabu-

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions