Kamilisha vitendawili vifuatavyo: 1.Huku ng’o na kule ng’o- 2.Nyumba yangu ina milango mitatu- 3.Nyumba yangu ina madirisha mengi- 4.Kamba yangu ndefu haifungi kuni- 5.Huku mwamba na huku...

      

Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Huku ng’o na kule ng’o-
2.Nyumba yangu ina milango mitatu-
3.Nyumba yangu ina madirisha mengi-
4.Kamba yangu ndefu haifungi kuni-
5.Huku mwamba na huku mwamba-
6.Mama nieleke-
7.Haukamatiki wala haushikiki-
8.Afahamu kuchora lakini hafahamu achoracho-
9.Cheupe chavunjika manjano yatoka-
10.Daima namsikia tu lakini simwoni-

  

Answers


Jim
1.Giza.
2.Suruali.
3.Kichungi.
4.Njia.
5.Kaburi.
6.Kitanda.
7.Moshi.
8.Konokono.
9.Yai.
10.Upepo.
jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:04


Next: Eleza maana ya maneno haya: Sitiri- Aidha- Tuza-
Previous: Kamilisha vitendawili vifuatavyo: 1.Anataga huku akitembea- 2.Akitokea kila mtu humwona- 3.Nina saa yangu isiyotiwa ufunguo- 4.Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi- 5.Popoo mbili zavuka mto- 6.Ndege wengi baharini- 7.Ajifungua...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions