Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Kamilisha vitendawili vifuatavyo: 1.Anataga huku akitembea- 2.Akitokea kila mtu humwona- 3.Nina saa yangu isiyotiwa ufunguo- 4.Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi- 5.Popoo mbili zavuka mto- 6.Ndege wengi baharini- 7.Ajifungua...

      

Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Anataga huku akitembea-
2.Akitokea kila mtu humwona-
3.Nina saa yangu isiyotiwa ufunguo-
4.Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi-
5.Popoo mbili zavuka mto-
6.Ndege wengi baharini-
7.Ajifungua na kujifunika-
8.Amefunua jicho jekundu-
9.Askari wangu wote wamevaa kofia upande-
10.Chakula kikuu cha mtoto-

  

Answers


Jim
1.Boga.
2.Jua.
3.Moyo.
4.Giza.
5.Macho.
6.Nyota.
7.Mwavuli.
8.Jua.
9.Mahindi.
10.Titi.

jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:09


Next: Kamilisha vitendawili vifuatavyo: 1.Huku ng’o na kule ng’o- 2.Nyumba yangu ina milango mitatu- 3.Nyumba yangu ina madirisha mengi- 4.Kamba yangu ndefu haifungi kuni- 5.Huku mwamba na huku...
Previous: Name the tissue types in plants.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions