Kamilisha methali hizi:a)Njia ya mwongo...b)Akiba...c)Mla nawe hafi nawe...d)Tamaa mbele...e)Dawa ya moto ...f)Kikulacho ki...g)Kuishi kwingi ni...h)Ukitaka cha mvunguni...I)Siku za mwizi...j)Chovyachovya...

      

Kamilisha methali hizi:
a)Njia ya mwongo...
b)Akiba...
c)Mla nawe hafi nawe...
d)Tamaa mbele...
e)Dawa ya moto ...
f)Kikulacho ki...
g)Kuishi kwingi ni...
h)Ukitaka cha mvunguni...
I)Siku za mwizi...
j)Chovyachovya...

  

Answers


Jim
a)Ni fupi.
b)Haiozi.
c)Ila mzaliwa nawe.
d)Mauti nyuma.
e)Ni moto.
f)Nguoni mwako.
g)Kuona mengi.
h)Sharti ainame.
I)Ni arobaini.
j)Ule asali.
jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:20


Next: Name the Organs found in animals .
Previous: Name the physiological Processes of the Cell membrane .

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions