Kamilisha vitendawili vifuatavyo: 1.Nameza lakini sishibi- 2.Mlima sipandi- 3.Kiti cha dhahabu hakikaliwi na watu – 4.Yaenda mbali lakini haiondoki ilipo- 5.Tarishi wangu huwa naye mfukoni- 6.Natembea na nyumba...

      

Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Nameza lakini sishibi-
2.Mlima sipandi-
3.Kiti cha dhahabu hakikaliwi na watu –
4.Yaenda mbali lakini haiondoki ilipo-
5.Tarishi wangu huwa naye mfukoni-
6.Natembea na nyumba yaangu –
7.Ubwabwa wa mwana mtamu-
8.Kipo lakini sikioni-
9.Tajiri hunitia mfukoni ,maskini hunitupa-
10.Wanangu watatu daima wako pamoja-
11.Likitoka halirudi-

  

Answers


Jim
1.Mate.
2.Maji.
3.Meza.
4.Njia.
5.Rununu.
6.Kobe.
7.Usingizi.
8.Kisogo.
9.Pesa.
10.Mafya.
11.Neno.
jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:26


Next: Name the physiological Processes of the Cell membrane .
Previous: Name the factors Affecting the Rate of Osmosis.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions