Kamilisha methali hizi: a)Ahadi ni... b)Asiyekuwepo na... c)Asiyefunzwa na mamake... d)Barua ni nusu... e)Debe tupu... f)Dua la kuku... g)Akili ni... h)Akili ni nywele... I)Maji yakimwagika... j)Hasira...

      

Kamilisha methali hizi:
a)Ahadi ni...
b)Asiyekuwepo na...
c)Asiyefunzwa na mamake...
d)Barua ni nusu...
e)Debe tupu...
f)Dua la kuku...
g)Akili ni...
h)Akili ni nywele...
I)Maji yakimwagika...
j)Hasira...

  

Answers


Jim
a)Deni.
b)lake halipo.
c)Hufunzwa na ulimwengu.
d)Ya kuonana.
e)Haliachi kutika.
f)halimpati mwewe.
g)Mali.
h)Kila mtu ana zake.
I)Hayazoleki.
j)Hasara.
jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:34


Next: Name the factors Affecting the Rate of Osmosis.
Previous: What is Nutrition?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions