Kamilisha methali zifuatazo: i))Jogoo hulia uta... ii)Ukitaka kula nguruwe... iii)Penye kuku wengi... iv)Fahali wawili wapiganapo... v)Bendera hufuata... vi)Paka akiondoka...

      

Kamilisha methali zifuatazo:
i))Jogoo hulia uta...
ii)Ukitaka kula nguruwe...
iii)Penye kuku wengi...
iv)Fahali wawili wapiganapo...
v)Bendera hufuata...
vi)Paka akiondoka...

  

Answers


Jim
i)Wangu u kule!
ii)Chagua aliyenona.
iii)Hapamwagwi mtama.
iv)Ziumiazo ni nyasi.
v)Upepo.
vi)Panya hutawala.

jim items answered the question on October 1, 2018 at 05:44


Next: Name the main modes of nutrition.
Previous: What is Heterotrophism?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions