Sitaki kazi za uchafu hapa sagamoyo", eleza muktadha wa Dondoo hili katika tamthilia ya Kigogo

      

Sitaki kazi za uchafu hapa sagamoyo", eleza muktadha wa Dondoo hili katika tamthilia ya Kigogo.

  

Answers


Raphael
Msemaji ni Kenga na msemewa ni Majoka ambapo wako ofisini mwa Majoka walipokuwa wanasoma gazeti Tunu akiwaelezea wanahabari uongozi mbaya wa Majoka
Earlen answered the question on October 31, 2018 at 07:47


Next: Explain the applications of junction diodes
Previous: Write a program in C that prints the word "Hello world"

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions