Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
a)1. Mzungumzaji ni Penina.
2. Anamzungumzia Dennis Machora
(msimulizi)
3. Wako nyumbani kwao (Machora na Penina)
katika mtaa wa New. Zealand.
4. Dennis Machora alikuwa amerudi nyumbani
kutoka kampuni ya kuchapisha magazeti
alikoenda kutafuta kazi lakini akaambulia
patupu. (Alama 4)
b)1 Methali - Mgomba Changaraweni haupandwi
ukamea
2. Swali balagha - penzi lenu na nani?
3. Nidaa . . . Mkata wee!
4. Msemo - potelea mbali.
5. Mdokezo (.....)
zozote mbili 2 x 2 (Alama 4)
c) Maudhui ya Utabaka.
1. Wazazi wa Dennis walijitahidi kumsomesha
kwa kuwalimia matajiri mashamba.
2. Wazazi wa Penina walipinga uhusiano wa
Dennis na Penina kwa kuwa laitoka tabaka la
chini ilhali wao walikuwa matajiri.
3. Dennis anakunywa uji kama chamcha kwa
kukosa chakula ilhali Penina hupokea
shilingi elfu tano kila wiki.
4. Dennis hangejiunga na shule aliyoalikwa
kwa umaskni ilhali wenzake walisomea
shule za hadhi kubwa.
5. Penina anapangiwa nyumba katika mtaa wa
New Zedand. wanakoishi watu wenye
mapato ya Kadri.
6. Penina anamkataa Dennis kwa kuwa hana
uwezo wa kifedha kwa kukosa kazi na
hangeweza kudumisha maisha yake ya
kifahari.
7. Wazazi wa Dennis walimtegemea asome ili
kuwatoa umaskinini ilhali wazazi wa Penina
wanamkimu hata baada ya kumaliza
masomo. zozote 6 × 1
d) Sifa za mzungumzaji.
1. Msaliti - Alimsaliti mchumba wake Dennis
kwa kumfukuza na kuwaibisha sababu ya
umaskini.
2. Mwenye dharau - alimfokea Dennis kwa
dharau akimwita mkata.
3. Mwenye tamaa - ana tamaa ya mapenzi na
akatafuta mchumba kwa bidii.
4. Mwenye bidii masomoni - alikuwa
mwanafunzi wa chuo kikuu cha kivukoni.
5. Ni jasiri - alimwendea Dennis kutafata
mapenzi na uchumba na mambo
yanapokwenda kombo anamfukuza bila
woga.
6. Mpyaro - alimtusi Dennis akimwita mkata
6 × 1 = 6
ESTHER STEVE answered the question on November 12, 2018 at 09:52
- "Mapenzi ya Kifaurongo",Kenna Wasike Mapenzi ya Kifaurongo" Mimi sijui hata kidogo ,huwa nayaona mapenzi kama ule mmea wa Kifaurongo.Huwa hai hali ikiwa shwari,na shari ikitokea ...(Solved)
MAPENZI YA KIFAURONGO
"Mimi sijui hata kidogo ,huwa nayaona mapenzi kama ule mmea wa Kifaurongo.Huwa hai hali ikiwa shwari,na shari ikitokea yanafifia.....
(a) Huku ukirejelea hadihi hii,eleza maswala yanayojitokeza kama mmea wa kifaurongo katika hadithi hii
Date posted: November 12, 2018. Answers (1)
- Eeza ufaafu wa anwani Chozi la Heri (Solved)
Eleza ufaafu wa anwani Chozi la Heri
Date posted: November 9, 2018. Answers (1)
- Sitaki kazi za uchafu hapa sagamoyo", eleza muktadha wa Dondoo hili katika tamthilia ya Kigogo(Solved)
Sitaki kazi za uchafu hapa sagamoyo", eleza muktadha wa Dondoo hili katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: October 18, 2018. Answers (1)
- Mkondo wa shairi ni nini?(Solved)
Mkondo wa shairi ni nini?
Date posted: October 9, 2018. Answers (1)
- Jadili umuhimu wa tunu katika tamthilia ya kigogo.(Solved)
Jadili umuhimu wa tunu katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: October 6, 2018. Answers (1)
- Kamilisha methali zifuatazo:
i))Jogoo hulia uta...
ii)Ukitaka kula nguruwe...
iii)Penye kuku wengi...
iv)Fahali wawili wapiganapo...
v)Bendera hufuata...
vi)Paka akiondoka...(Solved)
Kamilisha methali zifuatazo:
i))Jogoo hulia uta...
ii)Ukitaka kula nguruwe...
iii)Penye kuku wengi...
iv)Fahali wawili wapiganapo...
v)Bendera hufuata...
vi)Paka akiondoka...
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Kamilisha methali hizi:
a)Ahadi ni...
b)Asiyekuwepo na...
c)Asiyefunzwa na mamake...
d)Barua ni nusu...
e)Debe tupu...
f)Dua la kuku...
g)Akili ni...
h)Akili ni nywele...
I)Maji yakimwagika...
j)Hasira...(Solved)
Kamilisha methali hizi:
a)Ahadi ni...
b)Asiyekuwepo na...
c)Asiyefunzwa na mamake...
d)Barua ni nusu...
e)Debe tupu...
f)Dua la kuku...
g)Akili ni...
h)Akili ni nywele...
I)Maji yakimwagika...
j)Hasira...
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Nameza lakini sishibi-
2.Mlima sipandi-
3.Kiti cha dhahabu hakikaliwi na watu –
4.Yaenda mbali lakini haiondoki ilipo-
5.Tarishi wangu huwa naye mfukoni-
6.Natembea na nyumba...(Solved)
Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Nameza lakini sishibi-
2.Mlima sipandi-
3.Kiti cha dhahabu hakikaliwi na watu –
4.Yaenda mbali lakini haiondoki ilipo-
5.Tarishi wangu huwa naye mfukoni-
6.Natembea na nyumba yaangu –
7.Ubwabwa wa mwana mtamu-
8.Kipo lakini sikioni-
9.Tajiri hunitia mfukoni ,maskini hunitupa-
10.Wanangu watatu daima wako pamoja-
11.Likitoka halirudi-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Kamilisha methali hizi:a)Njia ya mwongo...b)Akiba...c)Mla nawe hafi nawe...d)Tamaa mbele...e)Dawa ya moto ...f)Kikulacho ki...g)Kuishi kwingi ni...h)Ukitaka cha mvunguni...I)Siku za mwizi...j)Chovyachovya...(Solved)
Kamilisha methali hizi:
a)Njia ya mwongo...
b)Akiba...
c)Mla nawe hafi nawe...
d)Tamaa mbele...
e)Dawa ya moto ...
f)Kikulacho ki...
g)Kuishi kwingi ni...
h)Ukitaka cha mvunguni...
I)Siku za mwizi...
j)Chovyachovya...
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Anataga huku akitembea-
2.Akitokea kila mtu humwona-
3.Nina saa yangu isiyotiwa ufunguo-
4.Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi-
5.Popoo mbili zavuka mto-
6.Ndege wengi baharini-
7.Ajifungua...(Solved)
Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Anataga huku akitembea-
2.Akitokea kila mtu humwona-
3.Nina saa yangu isiyotiwa ufunguo-
4.Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi-
5.Popoo mbili zavuka mto-
6.Ndege wengi baharini-
7.Ajifungua na kujifunika-
8.Amefunua jicho jekundu-
9.Askari wangu wote wamevaa kofia upande-
10.Chakula kikuu cha mtoto-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Huku ng’o na kule ng’o-
2.Nyumba yangu ina milango mitatu-
3.Nyumba yangu ina madirisha mengi-
4.Kamba yangu ndefu haifungi kuni-
5.Huku mwamba na huku...(Solved)
Kamilisha vitendawili vifuatavyo:
1.Huku ng’o na kule ng’o-
2.Nyumba yangu ina milango mitatu-
3.Nyumba yangu ina madirisha mengi-
4.Kamba yangu ndefu haifungi kuni-
5.Huku mwamba na huku mwamba-
6.Mama nieleke-
7.Haukamatiki wala haushikiki-
8.Afahamu kuchora lakini hafahamu achoracho-
9.Cheupe chavunjika manjano yatoka-
10.Daima namsikia tu lakini simwoni-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya maneno haya:
Sitiri-
Aidha-
Tuza-(Solved)
Eleza maana ya maneno haya:
Sitiri-
Aidha-
Tuza-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya maneno haya:
Shawishi-
Fuzu-
Ari-
Aghalabu-(Solved)
Eleza maana ya maneno haya:
Shawishi-
Fuzu-
Ari-
Aghalabu-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya semi hizi:
Mkono mrefu-
Kuwa popo-
Kula kalenda-
Kutaka radhi-
Funga ndoa-(Solved)
Eleza maana ya semi hizi:
Mkono mrefu-
Kuwa popo-
Kula kalenda-
Kutaka radhi-
Funga ndoa-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya semi hizi:
Agua kicheko-
Chungfu nzima-
Kupiga mbizi-
Kupiga teke-
Ezeka kofi-
Ona cha mtema kuni-(Solved)
Eleza maana ya semi hizi:
Angua kicheko-
Chungu nzima-
Kupiga mbizi-
Kupiga teke-
Ezeka kofi-
Ona cha mtema kuni-
Date posted: October 1, 2018. Answers (1)
- Bainisha silabi katika neno:
Wanyweshavyo. (Solved)
Bainisha silabi katika neno:
Wanyweshavyo.
Date posted: September 24, 2018. Answers (1)
- Tunga vitenzi kutokana na nomino hizi:
watafanyiwa tathmini-
Kupata suluhu-(Solved)
Tunga vitenzi kutokana na nomino hizi:
watafanyiwa tathmini-
Kupata suluhu-
Date posted: September 24, 2018. Answers (1)
- Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo:
Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha. (Solved)
Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo:
Nafsi ya kwanza wingi,wakati uliopita,yambwa,mzizi,kauli tendesha.
Date posted: September 24, 2018. Answers (1)
- Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.(Solved)
Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.
Date posted: September 24, 2018. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa:
Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa:
Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.
Date posted: September 24, 2018. Answers (1)