Taja vitenzi vyenye asili ya kigeni

      

Taja vitenzi vyenye asili ya kigeni

  

Answers


Jennifer
Kitenzi ni neno linaloashiria ama kusimamia kitendo. Vitenzi vyenye asili ya kigeni ni vile vitenzi ambavyo vina asili ya lugha nyingine ambayo si ya kibantu na uishia kwa irabu 'e' 'i' na 'u'

Mfano; sahau,safiri,hukumu,samehe,tubu, amini, baleghe

Ms kim answered the question on November 15, 2018 at 06:42


Next: (a) What is artificial intelligence as used in computer? (b) State and describe any three areas of artificial intelligence.
Previous: Two vertical opposite forces act on a metre rule at the 10cm and 60cm mark respectively. If each of the forces has a magnitude of 2.4N.calculate...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions