Eleza maana ya maigizo katika fasihi simulizi

      

Eleza maana ya maigizo katika fasihi simulizi.

  

Answers


Jennifer
Maigizo ni sanaa katika fasihi simulizi ambayo watendaji huwa ndio wahusika. Katika maigizo,Wahusika huzungumza katika sehemu zao mbalimbali. Maigizo huwa haisimuliwi.
Ms kim answered the question on November 15, 2018 at 09:34


Next: Explain why the ionic radius of potassium is greater than that of sodium
Previous: Discuss the general effects of Nematodes to animals after infection of animals with a disease caused Nagana.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions