Taja wahusika wa kigogo na sifa zao

      

Taja wahusika wa kigogo na sifa zao.

  

Answers


Davies
Majoka-Mjeuri,mpenda anasa,mnafiki,mbinafsi,mwenye dhuluma
Tunu-mtetezi,mkarimu,mwenye utu,mjasiri,mwenye bidii
Boza-mpumbavu,mbinafsi,mzalendo,mwenye bidii,mng'amuzi
Sudi-mwenye mapenzi ya dhati,mwenye bidii,mwenye utu,mjeuri,mtetezi
Ashua-msaliti,mwenye mapenzi ya dhati,mtetezi,mwenye utu,mjasiri
Cez khan answered the question on January 18, 2019 at 10:15


Next: The following data have been collected relating to returns which would have been earned from an investment of an equal sum of money in the shares...
Previous: Impact of education on social mobility

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions