Jadili namna mwandishi wa kigogo ameeleza suala la dhiki na masaibu ya wanyikazi katika sagamoyo

      

Jadili namna mwandishi wa kigogo ameeleza suala la dhiki na masaibu ya wanyikazi katika sagamoyo

  

Answers


Mwangi
Mwandishi ameeleza kwa kina jinsi wafanyikazi wanavyodhulumiwa sagamoyo jambo linalopelekea wafanyikazi hawa kuandamana na mwishowe kugoma.
Mfano mzuri ni pale soko linapokosa kusafishwa licha ya wananchi kulipa kodi. Hii inasababisha uwepo wa dhiki kwa vile mandhari si safi na wachuuzi wanapata shida kufanyia kazi kwa mazingira kama haya.
Unyanyasaji. Wafanyikazi wananyanyaswa kwa kulazimishwa kufanya kazi bila mapumziko na kupokea mishahara duni. Walimu wanagoma kwa sababu ya mateso.
Wengine wanalazimishwa kuchonga vinyago kwa ajili ya Uhuru.
Mmercie answered the question on April 23, 2019 at 08:07


Next: Express 8,200,000 in standard form
Previous: Outline the five state model of a process in operating systems

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions