Tumbo lisiloshiba ni anwani ya kijazanda. Fafanua

      

Tumbo lisiloshiba ni anwani ya kijazanda. Fafanua

  

Answers


EZRA
Jazanda no mbinu ya kulirejelea jambo Fulani kwa dhana ya mafumbo
Kitu kimoja hutumiwa kuashiria kitu kingine ili kuficha maana halisi.
Katika hadithi hii fupi tunaona viongozi ambao hawatosheki na Yale yaliyo nayo.
Jiji limejaa vyumba vya kila haina lakini viongozi wanataka kuongezea nyumba zingine.wanafurusha watu,wanabomoa vibanda ikiwemo mkahawa Wa mzee mago ili waweze kujenga majumba marefu
MBOROGO answered the question on June 9, 2019 at 05:05


Next: Describe the shape of the earth
Previous: State the difference between acidic rocks and basic rocks

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions