Kwa kutoa mifano taja aina tano za methali

      

Kwa kutoa mifano taja aina tano za methali.

  

Answers


Kennedy
Methali hutumika kwa njia mbalimbali:
1.kuonya kutoringa tunapofanikiwa.
mifano--mpanda ngazi hushuka.
--Aliyejuu mngoje chini.
2.kuonyesha umuhimu wa ushirikiano.
mifano --jifya moja haliinjiki chungu.
---mkono mmoja haulei mwana
3.zinazohimiza bidii
mifano---mtaka cha mvunguni sharti ainame
---chombo hakiendi ila kwa kafi.
4.zinazotuliwaza na kutuonyesha uwezo wake Mungu
mifano--Jitihada haiondoi kudura
--kalamu ya mungu haikosi
5.zinazotukumbusha kutahadhari kabla ya kufanya jambo
mifano--Enga kabla ya kujenga
--Tahadhari kabla ya hatari.

kjnk answered the question on January 17, 2019 at 07:51


Next: In recent years environmentalists and health professionals have been concerned about the ill effects onthe environment of the widespread use of insecticides. If human beings...
Previous: Taja misingi ya upangaji wa irabu za kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions