"Sitaacha kula mkate kwa kuchelea kiungulia"eleza muktadha wa dondoo hili katika tamthilia ya kigogo

      

"Sitaacha kula mkate kwa kuchelea kiungulia" eleza muktadha wa dondoo hili katika tamthilia ya kigogo

  

Answers


Alice
Ni maneno ya Majoka
Akimwambia Ashua
Walikuwa ofisini mwa Majoka
Majoka alikuwa anamsabahi ashua awe mpenziwe hata ingawa alikosa kumuoa
Lyshantah answered the question on January 23, 2019 at 15:24


Next: Starting with zinc oxide, describe how you can prepare a sample of lead ii sulphate
Previous: Jadili mbinu ya kinaya katika kigogo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions