Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Dhamira ni funzo kuu litokanalo na kazi ya sanaa au lengo kuu la mwandishi. Mwandishi wa hadithi ya Tumbo lisiloshoba alidhamiria kufunua uozo unaoletwa na ubinafsi na tamaa katika jamii. Aidha anawajasirisha wanaoathiriwa kuwa wanaweza kukubali madhila wanayofanyiwa ama kupinga dhulma hizo na kusimama wima na kutetea haki zao. ho
karanumoureen answered the question on January 9, 2019 at 18:35
- Ni mikakati gani inayotumiwa na wananchi was sagamoyo ili kuhakikisha kwamba wamepata ukombozi kutoka mikononi MWA viongozi dhalimu
(Solved)
Ni mikakati gani inayotumiwa na wananchi was sagamoyo ili kuhakikisha kwamba wamepata ukombozi kutoka mikononi MWA viongozi dhalimu
Date posted: January 6, 2019. Answers (1)
- Jadili mbinu ya kinaya katika kigogo(Solved)
Jadili mbinu ya kinaya katika kigogo
Date posted: January 2, 2019. Answers (1)
- "Sitaacha kula mkate kwa kuchelea kiungulia"eleza muktadha wa dondoo hili katika tamthilia ya kigogo(Solved)
"Sitaacha kula mkate kwa kuchelea kiungulia" eleza muktadha wa dondoo hili katika tamthilia ya kigogo
Date posted: January 2, 2019. Answers (1)
- Taja misingi ya upangaji wa irabu za kiswahili(Solved)
Taja misingi ya upangaji wa irabu za kiswahili.
Date posted: January 2, 2019. Answers (1)
- Kwa kutoa mifano taja aina tano za methali(Solved)
Kwa kutoa mifano taja aina tano za methali.
Date posted: January 1, 2019. Answers (1)
- Onyesha jinsi Majoka anavyowadhulumu wanasagamoyo(Solved)
Onyesha jinsi Majoka anavyowadhulumu wanasagamoyo.
Date posted: December 29, 2018. Answers (1)
- Changanua sentensi kwa kutumia mtindo wa matawi(Mahubiri ya wakristo yaliyofanyika jana usiku yalisababisha furaha nyingi)(Solved)
Changanua sentensi kwa kutumia mtindo wa matawi(Mahubiri ya wakristo yaliyofanyika jana usiku yalisababisha furaha nyingi)
Date posted: December 26, 2018. Answers (1)
- Eleza kinaya katika Kigogo(Solved)
Eleza kinaya katika Kigogo.
Date posted: December 19, 2018. Answers (1)
- Tumbo lisiloshiba ni anwani ya kijazanda. Fafanua(Solved)
Tumbo lisiloshiba ni anwani ya kijazanda. Fafanua
Date posted: December 19, 2018. Answers (1)
- Jadili uozo uliomo katika jamii ya sagamoyo katika tamthilia ya kigogo(Solved)
Jadili uozo uliomo katika jamii ya sagamoyo katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: December 18, 2018. Answers (1)
- Jadili namna mwandishi wa kigogo ameeleza suala la dhiki na masaibu ya wanyikazi katika sagamoyo(Solved)
Jadili namna mwandishi wa kigogo ameeleza suala la dhiki na masaibu ya wanyikazi katika sagamoyo
Date posted: December 17, 2018. Answers (1)
- Taja wahusika wa kigogo na sifa zao(Solved)
Taja wahusika wa kigogo na sifa zao.
Date posted: December 15, 2018. Answers (1)
- Kivumishi ni nini?(Solved)
Kivumishi in baadhi ya aina za maneno
Date posted: December 12, 2018. Answers (1)
- Tofautisha kiima na kiarifa(Solved)
Tofautisha kiima na kiarifa
Date posted: December 6, 2018. Answers (1)
- kivipi semi ni fasihi?(Solved)
kivipi semi ni fasihi?
Date posted: December 5, 2018. Answers (1)
- Sifa za fonimu ni zipi?(Solved)
Sifa za fonimu ni zipi?
Date posted: December 2, 2018. Answers (1)
- Kamba ya bendera huitwaje kwa kiswahili?(Solved)
Kamba ya bendera huitwaje kwa kiswahili?
Date posted: November 16, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya maigizo katika fasihi simulizi(Solved)
Eleza maana ya maigizo katika fasihi simulizi.
Date posted: November 14, 2018. Answers (1)
- Taja vitenzi vyenye asili ya kigeni(Solved)
Taja vitenzi vyenye asili ya kigeni
Date posted: November 13, 2018. Answers (1)
- "Penzi lenu na nani? . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!" (a) Eleza muktadha wa dondoo hii...(Solved)
. "Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"
a) Eleza muktadha wa dondoo hii. (alama 4)
b) Taja naufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili. (alama 4)
c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima. (alama 6)
d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo. (alama 6)
Date posted: November 12, 2018. Answers (1)