Taja umuhimu wa tanakali za sauti?

      

Taja umuhimu wa tanakali za sauti?

  

Answers


Moureen
Husistiza mambo.
Huipa lugha radha na mvuto.
Hujenga ustadi wa kuiga na kuigiza.
Ni mbinu mojawapo wa mawasiliano.

karanumoureen answered the question on January 11, 2019 at 17:52


Next: Taja maudhui yanayojitokeza katika hadithi ya tumbo lisiloshiba
Previous: Taja umuhimu wa fasihi simulizi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions