Taja umuhimu wa fasihi simulizi?

      

Taja umuhimu wa fasihi simulizi?

  

Answers


Moureen
Fasihi simulizi huelimisha jamii.
Huhifadhi heshima na adabu miongoni mwa vijana.
Fasihi simulizi huendeleza utumaduni.
Hukosoa na kutoa mawaidha kwa jamii.
Hutumia kama burudani na wanajamii.
Huitunza historia ya jamii.
Huwaelekeza watu katika jamii kwa mfano methali hutoa maelekezo na maongozi kwa wanajamii.


karanumoureen answered the question on January 11, 2019 at 17:58


Next: Taja umuhimu wa tanakali za sauti?
Previous: What is dry cleaning?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions