Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza maudhui ya kifo katika riwaya ya chozi la heri?

      

Eleza maudhui ya kifo katika riwaya ya chozi la heri?

  

Answers


Caroline
1. Makaa nduguye Ridhaa anakufa akiwaokoa wailokuwa wakipora mafuta baada ya Lori LA mafuta kubingiria na kuwaka moto.UK 54
2.Terry, Becky, Nyamvula na Tila wanafia kwa nyumba baada ya nyumba yao kuchomwa moto na vijana walioandamana baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa na mwanamke kushinda.
3.Dede, nduguye Mwangeka aliaga dunia ,UK 58
4.kiriri, tajiri wa Kangata alikufa kwasababu ya kufilisika na ukiwa wa kuachwa na mkewe baada ya kupata green na kwenda na watoto.
5.Lunga mwanawe Kangata alipatwa na kihoro hatimaye uwele wa shinikizo La damu akafa baada ya mkewe kumwacha.UK 82
6.Ndugu take Kaira akiye kuwa mwanafunzi shule ya Tengamano alikufa safarini wailipofurushwa kwao na wakamzika kando ya njia UK 90
7.mamake mwanaheri alijifia chumbani baada ya kunywa sumu.
8.Bibi yake chandachema alikufa akiwa darasa La kwanza UK 102.
9.Manda mumewe Apondi Alicia Ughaibuni katika shughuli za kudumisha amani huko. UK.115
10. mgonjwa alikufa katika hospitali ya Ridhaa baada ya kubugia pombe haramu na wengine pia wakafa. UK 142.
11.Neema na Mwangemi walimpoteza mtoto wao wiki moja baada ya kuzaliwa.
12. watu wengi wanaaga baada ya vita kuzuka baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.
13.watu walikufa wakipora mafuta kutoka kwa Lori la mafuta lililobingiria na baadaye kuwaka moto.
mwalimu caroline answered the question on March 18, 2019 at 09:12


Next: Explain why adenine and thymine have double bond while cytosine and guanine have triple bond
Previous: Outline the importance of children in both Christianity and traditional African communities

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions