Wasemao husema, atafutaye hachoki."? Haya ni maneno ya msimulizi yanamhusu:(a) Fafanua muktadha wa dondoo hill

      

Wasemao husema, atafutaye hachoki."

Haya ni maneno ya msimulizi yanamhusu:

(a) Fafanua muktadha wa dondoo hill.

  

Answers


samuel
? Majununi aliyejitahidi kumfurahisha mpenziwe Mitchelle aliyekuwa amekataa kuolewa naye mpaka ajenge jumba la kifahari. Licha ya jitihada zake Majununi, Mitchelle alikataa kuolewa na Majununi na baadaye Maajununi akaamua kutooa kamwe.
lemass answered the question on February 1, 2019 at 08:52


Next: a) An object of mass 0.60kg tied to the end of a rope is whirled in a horizontal circle of radius 2.0m with a constant...
Previous: Jadili umuhimu wa kinachotafutwa katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions