Lakini waliogopa...waliogopa hata kuwa na uoga.”(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.

      

Lakini waliogopa...waliogopa hata kuwa na uoga.”
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.

  

Answers


samuel
(i) Haya ni maneno ya mwandishi/msimulizi.

(ii). Yanawarejelea raia wa Sokomoko.

(iii) Wanaugulika kwa dhuluma za Mtemi mara tu baada ya kurithi mamlaka kutoka kwa Mzungu.
(iv) Wanalalamika kwa minong'ono kwa vile Wanaogopa adhabu ya Mtemi
lemass answered the question on February 1, 2019 at 09:57


Next: Jadili umuhimu wa kinachotafutwa katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea
Previous: K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea“Usinivue nguo kwa macho yako wee!” Kwa kurejelea hoja kumi na mbili kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba mzungumzaji anastahili kuvuliwa nguo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions