K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea Kwa kurejelea hoja kumi na nne kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba raia wa Tomoko walistahili kuogopa hata kuwa na uoga‘

      

K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea
Kwa kurejelea hoja kumi na nne kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba raia wa Tomoko walistahili kuogopa hata kuwa na uoga‘

  

Answers


samuel
Utawala wa mkoloni kunyakua mali ya Waafrika na kuwatefékezea kwenye sehemu duni
Watu kuuawa na Mazungu na kumpwa kwenye Mto Kiberenge
Ukatili Wa Mtemi — mauaji ya Chichiri Hamadi na Mama Imani.
Kutumia vyombo vya dola kukabiliana na upinzani. Anawatia Amani, Imani na Matuko Weye korokoni.
Wizi wa mali ya umma — Nasaba Bora kunyakua shamba la Chichiri Hamadi
Utawala wa kiimla — tunaambiwa ulimi wake ulitoa amrisho na cheche za moto (uk. 14)
Matusi — tunaambiwa ulimi wake ulitoa karipio na matusi. (uk. 14)
Kukiuka haki za watoto — Nasaba Bora anakitupa kitoto mlangoni pa Amani.
Kuachiwa majukumu — Nasaba Bora anampagaza Amani ulezi wa mtoto wake.
Upufuju wa maadili — Nasaba Bora kuhusiana kimapenzi na Insichana mdogo.
Wizi Wa kitaaluma — Majisifu kuiba mswada wa Arnani. Dhiki ya kisaikolojia — Amani kulazimika kuchimba kaburi la Mterni angali hai.
MtemikumpigaAmanikikati1ikwa shumma ambazo hajathibitsha Askari kumpiga Mama Imani kikatili na kusababisha kifo chake Majirani Wa Imani kutorntetea anapochomewa nyumba na Mtemi.
Kimya chao kinamhuzunisha Imani.
Serikali kuwatelekezea Wazee kamavile Matuko Weye kwenye ugonjwa na umaskini Usaliti wa kimapenzi.
Michelle kumwacha Major N00n/ Majununi. Maturnizi mabaya ya dawa.
Oscar Kambona anapatikana na bangi, anafungwa. Uchochezi ~ Wanafunzi wanamsingizia Amani kwamba kawachochea dhidi ya serikali, ana?mgwa Kutoshughulikiwa kwa watoto wenye mahitaji maalum.
Majisifu kuwaona‘watot0 Wake kuwa mashizi.
Viongozi kutowahakikishia raia huduma bora za afya.
Pesa zilizotengewa uj enzi wa hospitali zinatumiwa vibaya; wanaishia kujenga
. zahanati.
. Nasaba Bora kulipa kwa ukatili. Licha ya DJ kumletea barua, Nasaba Bora anakataa kumpeleka hospitali anapoumwa na jibwa lake.
. Unyanyasaji wa kijinsia Nasaba Bora anamwachia mkewe upweke; ati anakwenda kusuluhisha migogoro ya mashamba.
Ubakaji — Ben Bella ni mbakaji, ni sugu wa jela.
Wizi wa mitihani — wazazi wa Fao kumwibia mtihani
Mwalimu Fao kuhusiana kimapenzi na mwana?mzi wake. Anamtunga mimba.
Nasaba Bora kuwatoza raia kodi ili kumpelcka mwanawe ng’ambo
Nasaba Bora kuwafuta wafanyakazi kwa sababu zisizo na msingi kama vile kunadhifisha mazingira.
Nasaba Bora na Majisifu kuwalipa wafanyakazi mshahara duni
Wauguzi kutomtibumtoto wa kina Imani na Amani. Mtoto anakufa.
Nasaba Bora kumuua paka kikatili
Nasaba Bora kumtaliki mke wake na hali yeye arnekuea mzinifu
Bi Zuhura kutaka kuhusiana kimapenzi na kij ana md0go/ anataka kumhuj Lunu Amani.
Kuzorota kwa huduma za kiafya- DJ anatoroka kwenye zahanati kutafuta tiba ya kienyeji kwa kukosa rnatibabu humo.
Raia kutozwa kodi ili Nasaba Bora ampeleke mwanawwe ng’ambo.
Pesa zilizotengewa ufadhili wa masorno ya watoto maskini kutumiwa kuwasomeshea wa walio nacho kama vile Madhubuti.
U?sadi- Mtemi kujitengenezea faili ili apate mali.
Hali duni katika vituo vya kurekebishia tabia. Seli katika a?si ya Mtemi ni choo. Ben Bella analalamikia hali duni huko jela.
Mwalimu Majisifu kushindwa kidhibiti uraibu wake Wa dawa licha ya elimu yake
lemass answered the question on February 1, 2019 at 10:10


Next: K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea“Usinivue nguo kwa macho yako wee!” Kwa kurejelea hoja kumi na mbili kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba mzungumzaji anastahili kuvuliwa nguo.
Previous: Evidence that suggests that africa is indeed the cradle of humanity

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions