(A)(i)Miviga ni nini? (ii)Fafanua sifa zozote za miviga.

      

(A)(i)Miviga ni nini?
(ii)Fafanua sifa zozote za Miviga.

  

Answers


Seline
(i)Miviga ni sherehe za kitamaduni zinazoambatanishwa na nyimbo pamoja na ngoma katika jamii.
(ii)Huongozwa na watu maalum.
Huhusu utamaduni wa jamii husika.
Hufuata utaratibu maalum.
Kuna kula viapo na matambiko kutolewa.
Hufanywa wakati maalum.
Huambatana na mawaidha au ulumbi.
Kuna kutolewa kwa kafara.

Belan answered the question on February 19, 2019 at 11:48


Next: List the documents used in international trade,giving the meaning and the purpose/importance of each.
Previous: (A)(i)Nini maana ya ngomezi. (ii)Fafanua sifa za ngomezi. (iii)Taja mifano mitatu ya ngomezi za kisasa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions