Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

(A)(i)Nini maana ya ngomezi. (ii)Fafanua sifa za ngomezi. (iii)Taja mifano mitatu ya ngomezi za kisasa.

      

(A)(i)Nini maana ya ngomezi.
(ii)Fafanua sifa za ngomezi.
(iii)Taja mifano mitatu za ngomezi za kisasa.

  

Answers


Seline
(i)Ngomezi ni fasihi ya ngoma.

(ii)Hufumba ujumbe Fulani kwa wasiohusika.
Hushirikisha zana za muziki zenye mapigo maalum.
Hutoa matangazo rasmi kuhusu jambo lolote katika jamii husika.Mfano;kifo,harusi.
Ujumbe wa ngomba hufasiriwa na wanajamii kama inavyokubaliana.
Hutekeleza majukumu maalum katika jamii.
Huongozwa na watu katika jamii.

(iii)Ving'ora. Kengele(mahakamani,shuleni,kanisani)
Milio ya ambulensi,magari ya polisi,mazima moto.
Toni za kengele za simu au rununu.

Belan answered the question on February 19, 2019 at 12:02


Next: (A)(i)Miviga ni nini? (ii)Fafanua sifa zozote za miviga.
Previous: In the spaces provided, indicate with a (x) whether each of the following transactions will increase, decrease or have no effect in the balance sheet.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions