Eleza neno 'Kwetu' lilivyotumika katika sentensi zifuatazo. a.Juma ameenda kwetu. b.Kwetu ni kule. c.Mahali kwetu ni kule.

      

Swali la marudio kwa Kidato cha nne.

  

Answers


Rachael
a.Kielezi
b.Kiwakilishi
c.Kivumishi
rachaelmusau answered the question on February 22, 2019 at 16:06


Next: What are the current assets?
Previous: What is health and nutrition?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions