Mofimu ni nini?

      

Mofimu ni nini?

  

Answers


Jim
Mofimu huwa ni kipashio kidogo kabisa katika lugha kuliko vinginevyo na chenye maana kamili.Huwa ni za aina mbili mofimu funge na mofimu huru.
jim items answered the question on February 25, 2019 at 13:02


Next: What is health and nutrition?
Previous: Outline factors to consider when teaching locomotor skills

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions