Eleza hatua tano zinazofuatwa na mkusanyaji wa data ya fasihi simulizi

      

Eleza hatua tano zinazofuatwa na mkusanyaji wa data ya fasihi simulizi.

  

Answers


Jeptoo
Hatua tano zinazofuatwa na mkusanyaji wa data ya fasihi simulizi.
1.Chagua mada-Hakikisha umechagua kichwa cha uchungui wako kwa kuingatia uwezo wako.Kama vile:Kuwea kuzungumza wazi na mtu usiejua,lugha unazoweza kuzungumza kwa ufasaha.
2.Tunga natharia tete-Tayarisha maswali ama natharia tete kuhusu yale unataka kujua kulingana na mada yako.Kwa mfano unapokusanya data kuhusu jamii ya wamasai, unaeza uliza swali kama:Kiongozi wajamii la wamasai ni nani?
3.Matayarisho ya kuenda uwanjani kusanya data-Katuka haya matayarisho mkusanyaji anafaa kujitayarisha vifuatavyo:
-Chagua mahali ama uwanja na wakati wa kusanya data
-Chagua mbinu utakayotumia katika ukusanyaji wa data
-Chagua mbinu utakayotumia kwa kurekodi data utakayo kusanya
4.Uusanyaji wa data-Mkusanyaji anafaa kuwasili alipokua ameamua kusanyia data kuisanya data na kurekodi.
5.Kuwaakilisha na kuweka data uliyokusanya-unaeza wakilisha data uliyokusanya kama ripoti kwa aliyehitaji ama aliyeitisha hiyo data.
Lagatajj answered the question on February 27, 2019 at 14:55


Next: The following table contains information relating to a business A, B, C, and D. Determine the figures represented by W, X and Y.
Previous: Explain the role of intercoastal muscles in: (i)Inspiration. (ii)Expiration.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions