Eleza matumizi ya vipengele vya ushairi katika tamthilia ya Kigogo

      

Eleza matumizi ya vipengele vya ushairi katika tamthilia ya Kigogo

  

Answers


Caroline
1.majoka anatumia ushairi kueleza hisia zake za mapenzi yake kwa Ashua kuwa ashua anamkondeshana kumkosesha raha kwa kumkataa kuwa ashua anamsongoa
2. ushairi was babu akimshauri majoka abadilishe mienendo take asikie vilio vya wanasagamoyo, aone maovu anayoyatenda, ahisi dhiki zinazowakumba wanasagamoyo asiishi kwa kutojali na daima atende mema
mwalimu caroline answered the question on March 6, 2019 at 12:17


Next: Describe how the human kidneys are structurally adapted to perform their functions.
Previous: What is the importance of studying Physics?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions