Sadfa imetumiwaje katika riwaya ya chozi la heri?

      

Sadfa imetumiwaje katika riwaya ya chozi la heri?

  

Answers


Caroline
1.Umulkheri na Hazina kukutana mjini ilikuwa sadfa kwani umu aliwahi msaidia Hazina walipokuwa matajiri na sasa Hazina anamsaidia akiwa kwa shida. (UK 88)
2.Ni sadfa kwa Mwanaheri, Umulkheri Chadachema na zohali wakiwa katika shule Tangamamano walisimulia visa ambavyo vinashabihiana
3. Dick na Umu kukutana katika uwanja was ndege ni sadfa kwani hawakupanga kukutana siku hiyo ya kwenda Ughaibuni.
4.Ni sadfa kwa Mwangeka na Mwangemi kukutana kwa hotrli ilhali ilikuwa nadra waende huko.
5. Inasadifu kuwa siku ya kuzakiwa ya Umu ilikuwa sawa na ya Mwangemi
7. Inasadifu kuwa Umu Dick na Mwaliko wanakutana kwa hoteli walipokuwa wakiwaza kuhusu mwaliko.
8. Ni sadfa kuwa wazazi wa kupanga wa Umu ndio pia baadae walikuwa wazazi wa nduguye Dick tangu walipokutana pale uwanja wa ndege.

mwalimu caroline answered the question on March 13, 2019 at 10:01


Next: Eleza maana ya methali; "Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza"
Previous: Prove that relevant range of production is in the section of the isoquant which is negatively sloped and convex

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions