Fafanua maudhui ya umenke katika riwaya chozi la heri

      

Fafanua maudhui ya umenke katika riwaya chozi la heri.

  

Answers


JUSTIN
Umenke ni ile hali ambapo mwanamume hapewi nafasi katika jamiii.Mwanamume amedhalilishwa katika jamii na nafasi yake haitambuliki Katu.
Katika riwaya ya chozi la heri, tunapata haya;"Haiwezekani! Hili haliwezekani! Itakuwa kama kisa cha yule kiongozi wa kiimla wa kike Yule anayesimuliwa katika visakale vya majirani wetu. Kuonyesha kue hawadhamini wanaume katika jamii yao ila majirani wao tu.
Pia tuanona katika ukurasa '17' " kumbuka jinsi enzi hiyo ya kiistamari wanaume walivyotumikishwa. Sisi tuliokuwa tukitifua udongo mashambani, huku wanawake kama majeta wanakaa kututumikisha?. Fikiria suala la jinsia na usifikirie ni njinsia nyingine, ni dada zetu tu.
Vyombo vya habari na vikao vya wapigania haki vinapigania haki na elimu ya mtoto wa kike, haja ya kuwainua kina mama kiuchumi.
Pia hukumu ya kifo kupitishwa dhidi ya wanaume ni dihilisho la umenke, hata mwanaume akimbaka make wake!


justoh9 answered the question on March 16, 2019 at 10:40


Next: Outline the differences between hot springs and geysers
Previous: Describe the types of domicile in law

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions