Ukirejelea tamthilia ya Kigogo,eleza jinsi nafasi ya vijana katika jamii inavyojitokeza

      

Ukirejelea tamthilia ya Kigogo,eleza jinsi nafasi ya vijana katika jamii inavyojitokeza.

  

Answers


Caroline
1. kuchangia uchumi wa taifa kwa kufanya Kazi kwa bidii tunaona Boza ,Sudi na Kombe wakichonga vinyago.
2. kulipa kodi , vijana wanaotumia soko la chapakazi wanalipa kodi, kitu kikubwa au chote ingawa solo halisafishwe.
3 . kukataa ubinafsi , Sudi anakataa kuchongea Majoka kinyago kwa manufaa take, pia Tunu anakataa kuoleka na Ngao Junior kwa maanufaa take.
4. kusoma na kutumia masomo yao kufaidi nchi yao kama vile tuna anasomea uanasheria na analeta mabadiliko sagamoyo.
5. kufuata katiba ya nchi, Tunu anamkashifu Mamapima kwa kuzuuza pombe haramu kinyume cha sheria.
6. kukataa uongozi mbaya. Tunu anapinga uongozi wa Majoka na kusema atakuja kulipia kila tone la damu alilomwaga Sagamoyo.
7.kupewa nafasi ya uongozi. Tunu anaidhinishwa na watu kuongoza sagamoyo .
8. kukataa kubugia pombe haramu ambayo ilileta maafa Sagamoyo.
9.kutotumika kama vikaragosi wa viongozi kama vile Ngurumo alivyotumiwa kuwa mfuasi wa Majoka pia kingi bila manufaa yoyote.
mwalimu caroline answered the question on March 18, 2019 at 09:56


Next: Explain the examples of sexual spores.
Previous: State and explain two types of learning identified by the Cognitive dimension of education.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions