Eleza sababu za kutamba ngano usiku?

      

Eleza sababu za kutamba ngano usiku?

  

Answers


Caroline
1. Kwa sababu ni wakati kila mtu angepatakina baada ya shughuli za mchana.
2. Mara nyingi wajuu walilala kwa babu na nyanya kwa hivyo huo ilikuwa wakati mwafaka wa kutamba hadithi.

mwalimu caroline answered the question on March 16, 2019 at 09:20


Next: Effects of Sexual perversions in the society
Previous: Etiquettes of speech according to Islamic teachings.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions