Anwani chozi la heri Ni kinaya. Thibitisha

      

Anwani chozi la heri Ni kinaya. Thibitisha.

  

Answers


EZRA
Anwani chozi LA heri ni kinaya ukizingatia Yale yanayotukia riwayani.
Ni kinaya kuwa mwangeka anaenda kuweka usalama kwenye mataifa mengine ilhali kwao bado usalama ni balaa.
Ni kinaya kuwa viongozi Wa nchi za kiafrika wanaiona elimu ya humu kuwa duni ilhali wao ndio wanaosimamia elimu yenyewe wanawapeleka wana wao kusomea huko.
Viongozi Wa dini wanawaambia watu 'amani iwe nanyi'ilhali watu hawana amani kwa kuwa chakula,mavazi na makao hawana.
Kinaya kinaonekana pale ridhaa alipokwenda shuleni na kutengwa na wenzake anahuzunika sana.ridhaa alifululiza nyumbani na kulia kwa kite na shaka
Mabinti Wa kaizari wanatendewa unyama kwa kubakwa na vijana wanzao.kaizari anashuhudia hayo yote kwa dhiki kubwa
Mwangeka alipokuwa ameketi mkabala na kidimbwi cha kuogelea anakumbuka wanuna wake kama Tila,mwili unamzizima kidogo anatabasamu kisha tone LA chozi linamdondoka
Jumba LA kifahari LA Ridhaa linateketea.wanaoangamia ndani in Terry,Tila na mkewe mwangeka Lily na mjukuu Becky.Tukio hili linamsononesha Ridhaa

MBOROGO answered the question on June 11, 2019 at 10:51


Next: Outline ways in which Fee Simple estate is created
Previous: Outline five reasons why the Nandi resisted the imposition of the British colonial rule over their territory

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions