Eleza sifa za utungaji wa kisanii

      

Eleza sifa za utungaji wa kisanii.

  

Answers


SAMUEL
Sifa za utungaji was kisanii
kwanza jambo la muhimu nikuelewa kuwa utunzi was kisanii no tofauti sana na utunzi wa kiswahili sanifu
1. msanii hutumia arudhi- arudhi ni sheria anazozitumia msanii katika mtungo wake, kwa mfano anaweza kutumia beti, mishororo na pengine vina kulingana na mtungo wake
2. msanii ana Uhuru wake- msanii ana Uhuru wa kuboroga lugha kulingana na mapenzi yake kwa mfano anaweza kutumia mbinu kama vile inkisari ambayo ni ya kufupisha maneno au mazida ambayo ni mbinu ya kurefusha maneno ili kuleta utosherezi wa mizani au urari wa vina
3.hufuata utaratibu Fulani, mtungo wa kisanii hufuata utaratibu Fulani kinyume na mtungo mingine,kwa mfano kwa mfano matumozi ya mizani, vina, beti, vipande na mengineyo

4.mtungo wa kisanii hughanwa au huimbwa kinyume na mitungo mingine ambayo husomwa.

5. hutungwa na gwiji au mtaalamu Fulani, mtunzi wa kisanii ana ujunzi wa kufanya ile kazi kwa mfano manju, malenga au pia mghani kinyume.
6 mitungo wa kisanaa ina misamiati yake pamoja na tamaduni zake mfano katika usanii aya huitwa ubeti, silabi huitwa mizani

hitimisho ni kuwa sifa hizi ni nyingi sana na usanii unaendelea kukuwa jinsi tecknolojia inavyoendelea kukuwa na hivyo sifa zake huzidi kuongezeka kila uchao

Sammy Njosh answered the question on May 12, 2019 at 11:25


Next: State four points to observe when laundering non fast coloured articles
Previous: What are the problems of Orientation?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions