Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine 2. “Karibu ndugu yangu waumini ni kukirimiana tunashukuru, alhamdulilahi sifa zote ni zake Maulana a)Eleza muktadha wa dondoo hili b)...

      

Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine

. “Karibu ndugu yangu waumini ni kukirimiana tunashukuru, alhamdulilahi sifa zote ni zake Maulana a)Eleza muktadha wa dondoo hili

b) Wahusika hawa walikirimiana vipi?

c) “Kukirimiana” huko kulikuwa na hasara gani?

  

Answers


Davis


a). (i) Anayezungumza ni Shehe Kijuba
(ii) Anaongea na Salim
(III) Walikuwa kwa Shehe Kijuba
(Iv) Salim alikuwa amekuja kwa Shehe Kijuba kutafuta kazi ya kufunza dini
msikitini.

b). Salim alikaribishwa kwa:
i)Alipata kazi ya kufunza dini hapo Msikitini
(ii) Alipewa chumba cha kulala chenye choo na bafu
(iii) Alipewa redio kaseti
iv) Alikabidhiwa pesa za nauli ya usafiri alizodai za kwenda kuvunia viazi na
maharagwe kwao Shehe Kijuba
(v)kuongeza mapato yake kutokana na sadaka kemkem
ata wakati wa kuendesha shughuli zake za kucheza bao

c)(1) Shehe Kijuba kupoteza pesa zake kutokana na kulaghaiwa na Salim
kuhusu viazi na maharagwe
(ii) Vijana wa pale mtaani kupoteza pesa zao kwa ulaghai kuwa
wangenunuliwa vifaa vya kuchezea mpira
(iii) Mfuko wa Shehe ullenda
iv) Kaseti pia ilibebwa
(v) Shehe Kijuba kubakia kwa majuto na fedheha kubwa.

Githiari answered the question on April 19, 2019 at 09:47


Next: Discuss the purposes of EMS in an organization.
Previous: Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine. Adui ya mwanamke ni mwanamke. Eleza kauli hii ukirejelea hadithi ya ngome ya nafsi na uteuzi wa moyoni

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions