Eleza maana ya nahau hizi?

      

Eleza maana ya nahau hizi?

  

Answers


Moureen
Tia ngumi – piga mtu
Tia pamba –kujifanya hausikii.
Tia mkononi – kushika kitu
Tia bei – ongeza dhamana ya kitu

karanumoureen answered the question on April 23, 2019 at 17:51


Next: Outline six steps God took to restore His broken relationship with man
Previous: Give two reasons for the decline of akamba long distance trade

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions