“Kuna heri gani kuonana na kisabaluu huyu uso wa kifuu” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili (b) Eleza umuhimu wa mzungumzaji...

      

UTENGANO: SAID. A. MOHAMMED.

4. “Kuna heri gani kuonana na kisabaluu huyu uso wa kifuu”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili

b) Eleza umuhimu wa mzungumzaji

  

Answers


Davis
a).i)Ni Bi Farashuu aliyekuwa akizungumza na
ii)Kabi
iii)Ni nvumbani kwa Kabi
iv) Alikuwa akimrejelea Maimuna punde tu alipofika kwa Kabi baada ya safari ndefu kufahamishwa kuwa Maimuna ndiye mke miukuwe aliyetarajia kumwoa.

b). - Mzungumzaii ni Bi Farashuu
Alitamka haya alipompata Maimuna nyumbani kwa Kabi na
i. Ametumwa kuonyesha udhalimu wa Maksuudi.
ii.Ametumwa kuendeleza maudhui va uasherati.
iv.Ametumwa kuendeleza maudhui ya utu.
Githiari answered the question on April 30, 2019 at 14:15


Next: Give the properties of Parallelogram.
Previous: Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions