Tamthilia; kifo kismani “Vitisho havitaua ndoto yetu Nyoyo zetu zimechoka. Utawala mbaya” a) Fafanua muktadha wa dondoo hili b) Kwa kurejelea dondoo hili eleza sifa mbili za...

      

“Vitisho havitaua ndoto yetu Nyoyo zetu zimechoka. Utawala mbaya”

a) Fafanua muktadha wa dondoo hili

b) Kwa kurejelea dondoo hili eleza sifa mbili za msemaji

  

Answers


Davis

a)i. Ni maneno va Mwelusi
ii. Kwenye uzungumzaji nafsia
iii. Alikuwa ndani ya gereza
iv. - Batu alikuwa amemwacha ili aishawishi akili yake na kufanya uamuzi kuhusu pendekezo la Batu la Mwelusi kujitenga na wachochezi na uchochezi.

b). Sifa za msemaji.
Msemaji ni Mwelusi
(1). Mdzalendo
(ii) Jasiri / Mkakamavu
(iii). Mtetezi wa haki
iv). Mwenye msimamo dhabiti.

Githiari answered the question on April 30, 2019 at 14:24


Next: Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua
Previous: List all functional writing and write their features

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions