Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
a) Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.
Tashbihi - kama vile katia saini . . .
Msemo - kujitia kitanzi
b) Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.
• lazima angeendelea kufanya kazi ya umetroni.
• lazima kazi ya upishi walifaa kuifanya wote wawili.
• lazima wangepata mtoto mmoja pekee.
• lazima Dadi angetakiwa kunadhifisha nyumba na kifua nguo.
• lazima angekuwa na uhuru wa kuvalia kisasa.
• lazima angekuwa na uhuru wa kutangamana na wanaume wengine.
c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo.
• Alimshuku mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wengine.
• Aliijihisi mtumwa katika ndoa yake.
• Alikejeliwa na kusimangwa na majirani.
• Alianguka na kuumia vibaya alipoenda kumchunguza mkewe kwa kukisia alikuwa na uhusiano na mwalimu mkuu.
• Alitawaliwa na chuki dhidi ya mkewe.
• Alikosa raha hata kushindwa kukila chakula alichoandaliwa.
• Hakuwa na muda wa kupumzika.
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 06:07
- "Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"
a) Eleza muktadha wa dondoo hii.
b) Taja na ufafanue mbinu...(Solved)
"Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"
a) Eleza muktadha wa dondoo hii.
b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.
c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima.
d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”(Solved)
Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “Rasta twambie bwana!”
a) Weka dondo katika muktadha
b) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hili
c) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?
d) Je,...(Solved)
“Rasta twambie bwana!”
a) Weka dondo katika muktadha
b) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hili
c) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?
d) Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo(Solved)
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.
b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa...(Solved)
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.
b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hili
c) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.(Solved)
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.(Solved)
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)