Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.

      

Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.

  

Answers


Kavungya
• Viongozi wa kisiasa wamekengeuka kuwa kuwaua vijana ambao ni nguvi ya taifa.
• Vijana wamepotoka Kimaadili- Mkubwa aliona vijana wanalaliana nje hdharani, walipotambua wameonekana walikuwa tayari kuua watu kwa kisu au bisibisi.
• Vijana wamegeuka kuwa wezi na wanyanganyi watu mali zao.
• Vingozi wa serikali wanafanya biashara ya ‘unga’bila kujali athari kwa vijana na taifa.
• Viongozi wanajitajirisha kuwa kuuza unga, wanaingiza bidhaa hii bandarini bila kukaguliwa.
• Unga unasababisha vijana wengi kuwa wanyonge na wasio na akili timamu. K.m mkubwa anamkuta kijana aliyetoa denda mdomoni.
• Vijana ni wapyoro – wanatumia lugha chafu ajabu.
• Tamaa ya utajiri inamfanya mkubwa kuingilia biashara ya kuuza dawa za kulevya.
• Mkubwa anauza shamba lake la urithi na kupata milioni kumi ambazo anatumia kuhonga wapiga kura.
• Mkubwa anatoa rushwa kuwa kiongozi wa askari waliokamata mzigo wake na pia mkumbukwa aachiliwe.
• Kuna ukosefu wa haki kuwa mahabusu waliowekwa kizuizini – wengi wao wanateswa kabla ya kuthibitishwa kuwa wahalifu.
• Viongozi wanatelekeza raia wengi kwa ukimwi na dawa za kulevya ambazo zinawadhuru.
• Wakubwa wanafungua majumba makubwa ya kurekebisha tabia, ilhali wao wangetakiwa warekebishwe tabia zao kwanza.
• Askari polisi hawafanyi kazi zao vizuri wanaruhusu ‘vigogo’ kupitisha dawa za kulevya nchini. n.k
• Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 06:59


Next: Discuss the motivational theories.
Previous: List the roles of Board Of Management in schools.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions