“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…” a Eleza muktadha wa dondoo hili b Eleza...

      

“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa dondoo hili
b Eleza sifa nne za msemaji
c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
d Kwa kurejelea hadithi nzima onyesha namna jamii ya kisasa ina tumbo lisiloshiba

  

Answers


Kavungya
a Eleza muktadha wa dondoo hili
• msemaji – Jitu
• musemewa – Mago
• walikuwa katika mkahawa mshenzi baada ya Jitu Kula chakula chote na kulipia.
• Alikuwa amepanga kuja kuinyakuwa ardhi yao

b Eleza sifa nne za msemaji
o Fisadi
o katili
o Jeuri
o Mnafiki.

c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
i) Uradidi – Kesho, kesho…..
ii) Uhuishi / Tashihisi,Nyumba zinazosimama
iii) Mdokeza : kama sote leuteamka…….kama.

d Kwa kurejelea hadithi nzima onyesha namna jamii ya kisasa ina tumbo lisiloshiba
o Unyekuzi wa ardhi ….mali ya umma
o Ufisadi – wenye mamalaka inatumia nafsi za kunyakua ardhi ya umma.
o Matumizi mabaya ya vyombo vya dola.- Jeshi la polisi na askari wa Baraza kutumiwa.
o Raslimali ya umma inatumiwa vibaya.
o Ulafi wa chakula – kutaka kula sana.
o Tamaa ya kuwa kiongozi au kunea mamlakani.
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:03


Next: List the roles of Board Of Management in schools.
Previous: Given the equations: y=4 -x2 and y=x2-2x;

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions