Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii

      

Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii

  

Answers


Kavungya
? Umaskini. Hadithi ya ‘Mapenzi ya kifaurongo’ Dennis Machora anakunywa uji bila sukari
o Hana pesa/maskini
o Ni zikeni papa hapa Otii anaishi kwenye kibanda kilichotalizwa kwa udongo na kuezekwa kwa makuti
o Dawa za kulevya. Hadithi ‘Mkubwa’ vijana wanakufa kwa sababu ya kutumia dawa za kulevya.
o Kubakwa ‘mame Bakali’ Sara anabakwa akitoka kuhudhuria masomo ya ziada usiku.
o Kuavya mimba ‘Shogake dada ana ndevu’ SAfia anaavya mimba, inayosababisha kifo chake.
o Kuvunjika kwa Uchumba ‘Mapenzi ya kifaurongo Peninah anavunja uchumba wake na Dennis Machora kwa sababu ya Dennis kuwa maskini.
o Ukosefu wa ajira ‘Mapenzi ya Kifaurongo’ Dennis amekamilisha masom ya chuo kikuu lakini ametafuta ajira kwa miaka mitatu bila mafanikio.
o Magonjwa – Nizikeni papa hapa’ Otii anaambukizwa virusi vya ukimwi Rehema Wanjiru
o Tamaa ya Mapenzi “Nizikeni papa hapa” Otii ana tamaa ya mapenzi.
o Kulangua dawa za kulevya – ‘Hadithi ya Mkubwa’ N
o Mimba za mapema ‘hadithi ya Mame Bakari’
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:09


Next: Evaluate the following;
Previous: Outline the powers of QACOs.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions