Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa

      

Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa

  

Answers


Kavungya
o Mtenda maovu na mtendewa maovu wote huathirika vibaya
o Hadithi hii inarejel;ea namna viongozi wakubwa serikalini wanavyotumia nafasi zao katika kufanya biashara ya dawa za kulevya
o Mkubwa alikuwa na tama ya utajiri akawania uongozi ili apatepasipoti ya kidiplomasia ambayo inampa nafasi ya kutokaguliwa katika viwanja vya ndege.
o Mkubwa anashinda uchaguzi na kupata cheo hatimaye anapata pasipoti ya kidiplomasia
o Anaitumia kupitisha dawa za kulevya bila kukaguliwa. Mkumbuke ndiye aliyepokea dhehena ya unga
o Mkumbukwa anakamatwa na kupelekwa kizuizini, huko anaambiwa na mahabusu wenzake juu ya athari ya dawa za kulevya baadaye anatolewa na mkubwa
o Mkumbukwa anafanya maamuzi ya kuachana na biashara hiyo.
o Anamwonya na kumlaani mkubwa kwa kuangamiza vijana wa Mchafukoge
o Kisadfa mkubwa akiwa katika ndoto, anaona vijana wanavyoteska baada ya kuathiriwa na dawa za kulevya
o Aliona wake kwa waume waliwamekondeana kama ujiti kwa ajili ya kifua kikuu na ukimwi
o Vijana wengi walikuwa wezi na kuchana nyavu za nyumba
o Miongoni mwao wapo watoto wake wa kiume
o Anapotoka usingizini anachuna majani ya miti na kujitwika kichwani amechizika
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:42


Next: Find the value of m and n in the figure below.
Previous: The number 5.81 contains an integral part and a recurring decimal. Convert the number into an improper fraction and hence into a mixed number

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions