Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.

      

Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.

  

Answers


Kavungya
• Mhusika mkubwa alikuwa maskini sana. Mweruli aliokuwa nao ulikuwa umekatika mfumbati na kungoka misumari mitatu
• Gari aliloabiri mkubwa lilipita Madongoporomoka sehemeu ya wachochole
• Alipitia vichochoro vyenye vijumba vikongwe kudhihirisha umaskini
• Biashara ya kukaanga pweza ilikuwa yenye pato dogo tu
• Wakati alipomwelezea Mkumbukwa nia ya kugombea uongozi alimweleza kuwa anahitaji kuingia siasa ili kuachana na umaskini
• Watu waliompigia kura walipew sukari unga kanga au mchele kuashiria umaskini
• Maisha awali ya mkubwa yalikuwa maisha duni hata kupata chakula ilikuwa shida
• Mkubwa hakuwa na mavazi alivaa nguo zilizojaa viraka
• Wakati anabadilisha taili za nyumba yake ,taili alizotoa ziling’ang’aniwa na maskini ili wang’arishe nyumba zao
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:43


Next: The number 5.81 contains an integral part and a recurring decimal. Convert the number into an improper fraction and hence into a mixed number
Previous: “ Naapa na mola wangu sitofanya tena biashara hii.” a. Eleza muktadha wa dondoo hili b. Tathmini umuhimu wa mzungumzaji c. “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari basi kwa...

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions