Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

“Mame Bakari” Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.

      

“Mame Bakari”
Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.

  

Answers


Kavungya
• Tukio la kubakwa linampotesea fahamu na anaaibika sana anapozinduka na kujipata akiwa uchi uk 47
• Mwanamke kujeruhiwa – Baada ya Sara kubakwa na janadume lile, anaharibiwa na kuvuja damu.
• Mwanamke kuvunjiwa ujanajike na utu wake.
• Maisha ya mwanamke kuingiliwa na kuharibiwa.
• Masomo yake yanakatizwa – mwalimu mkuu alimkabidhii Sara barua ya kumfukuza shuleni (uk 49)
• Mwalimu mkuu hamsikilizi wala kumhurumia – badala yake aliongoza kumkejeli na kumweleza ile haikuwa shuke ya wazazi bali wa wasichana. Anasema hawafundishi wanawake hapo.
• Mwanamke anateseka kiakili – Sara anaingiwa na mawazo mengi jinsi atakvyoukabili ule ujauzito. Anafikiria hata kuitoa ile mimba, kuhama kwao na hata kujiua.
• Mwanamke katika umri mdogo anabebeshwa mimba jinsi Sara alivyofanysihwa. Mzigo huo ungekuwa na changamoto nyingi kutokana na umri wake mdogo.
• Kuishi adhabu ya wazazi – Sara anahofia babake angemchinja kwa ujauzito wake.
• Kuogopa kutoa taarifa ya kubakwa kwa wazazi kwa sababu wazazi hawangemwamini.
• Kuishi maisha ya kimaskini – msimulizi anaeleza kuwa Sara angekuniwakunjiwa matambatra yake na kuruishiwa nje.
• Kila mara mwanamke anapobakwa, anayelaumiwa ni mwanamke na hata huonwa kama shetani. Uk 48
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:58


Next: “Ndugu yangu kula kunatumaliza” “Kunatumaliza au tunakumaliza” a) Eleza muktadha wa dondoo hili. b) Fafanua maana ya kitamthali katika kauli ‘kula tunakumaliza’ c) Kwa mujibu wa hadithi hii, nbi...
Previous: “Masharti ya Kisasa” “…mapenzi ni mateso,ni utumwa, ni ukandamizaji , ni ushabiki usio na maana.” Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions